Saturday, January 5, 2013
Neno 'Afya' linamaanisha nini?
›
Kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika la Afya Duniani WHO katika mkutano wake wa tarehe 19-22 Juni 1946 na kus...
2 comments:
Wednesday, October 19, 2011
Majaribio ya chanjo ya kwanza ya malaria duniani yaonyesha mafanikio
›
Majaribio ya chanjo ya ugonjwa wa malaria yameonyesha mafanikio na hivyo kuleta matumaini kuwa huenda gonjwa hilo sugu linalohatarisha maish...
Sunday, October 16, 2011
Kila siku faida za Folic Acid zazidi kugunduliwa
›
Katika hali ambayo muda mrefu imekuwa ikifahamika kwamba dawa za folic acid zinazotakiwa kuliwa na mama wajawazito zina faida kemkem kwa w...
4 comments:
Saturday, January 22, 2011
Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua
›
Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua Watoto wadogo hasa wale ambao bado wananyonya na ndio kwanz...
10 comments:
Wednesday, January 19, 2011
Jibu la swali la Mdau
›
Kuna mdau ambaye aliniuliza muda mrefu uliopita iwapo mwanamke na mwanamume ambao wana Ukimwi wanaweza kupata mtoto kwa njia ya IVF au la. K...
2 comments:
Sunday, January 16, 2011
Kuwaanzisha watoto chakula kigumu miezi 6 mapema kunawasaidia
›
Maneno haya si yangu, lakini nakumbuka kwa uzoefu wangu siku zote nilikuwa nikipingana na waalimu darasani na mahospitalini kuhusu muda wa k...
4 comments:
Sigara huharibu DNA mwilini na kuongeza hatari ya kupata kensa!
›
Kemikali za sumu zilizoko katika tumbaku ya sigara huharibu DNA za mwili wa binadamu dakika chache tu baada ya mtu kuanza kuvuta sigara. Kwa...
›
Home
View web version