Monday, August 2, 2010

Nimerudi blogini Wadau na samahani sana kwa kupotea!


Wapenzi wadau wangu wa Kona ya Afya,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kwamba nimerudi blogini. Pia kuwaomba samahani kwa kusokena kw amuda mrefu kutokana na majukumu, kazi na safari za hapa na pale. Nawaahidi kwamba nitajitahidi kujibu maswali yenu mliyoniuliza na kuirejesha tena blogi yetu katika hali yake ya kawaida.
Nawatakieni Afya Njema!
Shally!

4 comments:

Paul Akwilini said...

Afadhali umerudi maana kwa muda sasa tumekosa huduma yako. karibu sana.

Anonymous said...

Nashukuru umerudi, naomba unijibie swali langu kuhusu poda kwa watoto... Ni kweli zina madhara au ni maneno ya watu tu? Napenda kutumia Johnsons products

tweety said...

Better umerudi mpz, tulimiss kazi zako. Pole na majukumu

Shally's Med Corner said...

Ahsanteni sana wadau.