Thursday, February 4, 2010

Samahani kwa maatizo ya kufundi!Wapenzi wadau wa Kona ya Afya,
Shally's Med Corner inachukua fursa hii kuwaomba radhi kutokana na matatizo ya kiufundi ambayo yamesababisha blogi ya Kona ya Afya ivurugike kimuundo. Ingawa suala hilo halijaathiri uwekaji wa makala katika blogi hii, lakini nawaomba muwe na subira na uvumilivu hadi pale matatizo hayo yatakaporekebishwa. Kona ya Afya inawaahidi kwamba hivi karibuni mambo yatanyooshwa na muonekano wa blog utarudi katika hali yake ya kawaida.
Daima tulinde afya zetu!
Shally

No comments: